Ndugu zangu Watanzania,
CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.
Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu...