Magdalena Crispin Shauri (born 25 February 1996) is a Tanzanian long distance runner. She competed in the women's marathon at the 2017 World Championships in Athletics. In 2019, she competed in the senior women's race at the 2019 IAAF World Cross Country Championships. She finished in 49th place. She completed 3rd in her 2023 Berlin Marathon debut.
Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024.
Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
Mwanariadha Magdalena Shauri ameangukia pua baada ya kushika nafasi ya 11, kwa muda wa 2:32:58 huko Tokyo Japan, Jana tarehe 3/3/2024.
Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa kike aliyefuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa mwezi julai, baada ya kupata...
Mwanariadha wa Kimataifa na mwenye rekodi ya Taifa kwa mbio ndefu, kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Magdalena Crispine Shauri anatarajia kushiriki na kushindana kwenye mbio za TOKYO MARATHON 2024 yanayotarajia kufanyika Jumapili tarehe 03:03:2024 huko Tokyo Japan.
Kwenye mbio hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.