magenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  2. M

    Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  3. Tlaatlaah

    Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  4. Kaka yake shetani

    hivi ni vituo ambavyo vina magenge ya ccm kimkakati kulinda watawala

    Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha ostabey na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
  5. G

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  6. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
  7. Pang Fung Mi

    Kuna baadhi ya Nchi za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola

    Wasalaam nyote, Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola. Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao. Ni hayo tu. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  8. MGOGOHALISI

    CCM na Magenge Yenu Msitupotoshe: Uwekezaji Sio Siasa

    Moja kwa moja kwenye mada. Ulipoanza mjadala kuhusu bandari waliopinga mkataba tuliambiwa wanapotosha. Mjadala haukuishia hapo wapingaji wakazidi kupata nguvu. CCM nao wakaanza ziara nchi nzima kutoa elimu kua mkataba hauna tatizo. Ajabu zaidi wakaanza kitudanganya waziwazi kuwa ule sio mkataba...
  9. M

    Feisal achana na magenge ya wahuni utapotezwa kwenye ramani ya soka, rudi njia kuu

    Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida. Ni kichekesho sana unaingia mkataba kulipwa shingi 100 na unasaini mkataba alafu baada ya muda unamuona mwenzako analipwa shingi...
  10. B

    Magenge ya Radio FM (leo naanza na Radio Wachafu na Radio Mbinguni)

    Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu. Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au...
  11. JanguKamaJangu

    Nigeria kuiwekea vikwazo BBC kwa kuonesha filamu ya magenge ya uhalifu

    Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa magenge ya uhalifu Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo. BBC Africa ilifanya mahojiano na wahalifu wa...
  12. Lady Whistledown

    Umoja wa Mataifa waonya watoto kuajiriwa katika magenge ya kihalifu nchini Haiti

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao - Naibu msemaji wa Umoja wa...
  13. beth

    Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
  14. The Sheriff

    Ecuador: Wafungwa 68 wauawa katika mapigano ya magenge hasimu

    Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni. Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi. Zaidi ya wafungwa 100...
  15. YEHODAYA

    Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  16. King Easy

    Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
Back
Top Bottom