magereza mengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

    Unakuta kijana ana miaka 30+, ametumia miaka 28 au zaidi shuleni hadi kuhitimu shahada yake ya udaktari. Anarudi nyumbani bila ajira. Hana mtaji na hana ujuzi zaidi ya alichosomea. Wazazi nao hawakuwa na ajira rasmi, walikuwa wanaungaunga tu ili mtoto wao apate elimu aje kuwaokoa. Kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…