mageto ya wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amini usiamini wanaume wengi huishi hivi katika maghetto

    Labda itokee mwanamke anataka aingizwe ndo usafi itafanyika na vitu itapangwa. Lazima msoma maada hii mmojawapo ghetto lake liko hivo shaghalabaghala.Kweli hapo ukose fungus? Mmba? Chawa? Miwasho? Toa hata hela ufanyiwe usafi kama huna Tena morali ya kujifanyia usafi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…