Tafakuri Jadidi:
Ninapotafakari Alichosema Mzee Warioba?
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana ameongea mbele ya Wahariri wa Vyombo Vya Habari.
Nimemsikiliza kwa makini Mzee Warioba. Huyu ni mmoja wa Viongozi Wastaafu wenye busara na...