maghala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
  2. I

    Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

    Jeshi la Ukraine lilidai siku ya Jumatano kuiangusha ndege ya kivita ya Urusi mashariki mwa Ukraine huku Urusi ikizidisha kulipiza kisasi katika eneo la mashariki linalokaliwa na Ukraine muda mfupi baada ya Kyiv kuteketeza ghala jingine la mafuta la Urusi katika shambulio la ndani kabisa la...
  3. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea maghala ya jeshi na chuo cha taifa cha ulinzi

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, machi 16, 2024 ameshiriki katika ziara ya kikazi ya Kamati ya...
  4. Ukraine walipua maghala sita ya Warusi ndani ya saa 24

    Jeshi la Urusi linaendelea kulemazwa..... Ukraine’s defence forces have destroyed 6 Russian ammunition storage points and 21 pieces of military equipment on the Tavriia front in southern Ukraine over the course of the past 24 hours. Russia lost up to two companies’ worth of military personnel...
  5. R

    Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Kila mara wananchi tulipohoji kuruhusiwa Kwa wafanyabiashara Kutoka nje ya nchi kuingia nchini kununua mazao ya vyakula mashambani kwa pesa za kitanzania, tulijibiwa kuwa " Tusimpangie MKULIMA wapi auze mazao yake". Pesa za Umma zimetumika kuagiza mbolea na pembejeo za KILIMO nje ya nchi Kwa...
  6. DOKEZO Arusha: Wananchi Meru walalamikia maghala ya Serikali kuwauzia mahindi ya chakula. Serikali yasema utaratibu utabadilika, kupelekwa kila tarafa

    Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885. Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya maisha iliyotokana na ukame kwa madai kuwa serikali ilitakiwa itoe mahindi hayo bure kwa wahanga na sio...
  7. Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

    Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei. Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
  8. Rais Samia anaupiga mwingi, ameenda kuzindua maghala ya kisasa ya kuhifadhi chakula

    Uzinduzi wa maghala ya chakula si suluhishi ya kutatua matatizo yanayokumba nchi hivi sasa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ndiyo kitu pekee mama ambacho hivi sasa angekaa na viongozi wake nini wafanye kwa wananchi ili kupunguza ukali wa maisha. Changamoto ya umeme na maji imekuwa shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…