maghorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  2. Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

    Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami. Iko hivi; Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa Assumptions; Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
  3. G

    Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  4. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  5. S

    Ushauri wa kiufundi katika utanuaji na ukarabati wa maghorofa pasipo kuleta madhara

    Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo! Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
  6. Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

    Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila lawama yoyote ile Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
  7. Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  8. Kwa nini ujenzi wa maghorofa umeshamiri kariakoo?

    Habari zenu wana JF. Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
  9. Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  10. M

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  11. Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

    Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu. Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
  12. Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

    Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
  13. Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  14. Utitiri wa maghorofa yanayojengwa Kariakoo siku hizi inaashiria nini?

    Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
  15. B

    Service charges katika maghorofa zazua taharuki

    02 February 2023 Dar es Salaam, Tanzania Waomba mamlaka kuigilia kati, kampuni inayosimamia huduma ya jengo la ghorofa Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO, pia service charges...
  16. Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

    Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10. Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo: 1. Dar es Salaam-32,219 2. Arusha-7,180 3. Tanga-4,282...
  17. P

    Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake. Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
  18. Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

    Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
  19. Kufanyike ukaguzi wa maghorofa ya muda mrefu kabla hayajaleta maafa kwa watu

    Wakuu habari? Nina imani wiki imeanza vyema kwenu. Nimekuwa nikijizuia kuleta hii mada hapa kwa muda mrefu lakini nakosa amani sana. Kuna tatizo linakuja huko mbeleni kwenye majengo kama hayatatuliwa mapema. Kwenye harakati zangu za kutafuta maisha kama kibarua wa ujenzi nilikutana na hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…