habari wakuu,
Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au kuidownload.
Channel10 wanazingua wanaiplay wakijiskia mara waonyeshe nusu nusu wakate mara waje EP 2...