magodoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magodoro ya Fiber

    Habari boss Mimi ni Muajiriwa katika kampuni ya magodoro ya Goldsun, nafanya kazi kama Sales Leo naomba nikuletee fursa hii ya magodoro, twende pamoja Kampuni hii inazalisha magodoro ambayo material yake sio sponchi, bali ni FIBER, fiber ni nyuzi nyuzi. Utofauti wa haya magodoro ya mengine ni...
  2. Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni miaka 4, lakini sasa limeanza kumomonyoka na haliwezi tena kutumika. Imrnilazimu kuingia tena dukani...
  3. Hizi godoro zimetengenezwa na fiber na sio sponchi

    Habari boss wangu Chukua muda wako kusoma huu uzi Leo nakuletea magodoro kampuni mpya na kitu kipya kwenye soko Hizi godoro zimetengenezwa na fiber na sio sponchi Fiber ni material kama nyuzi nyuzi Hili godoro ni tiba ya mgongo Angalia picha kuona fiber ilivyooo Magodoro yetu yana warranty ya...
  4. E

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

    Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara. Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia. Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali. Ahsanteni.
  5. K

    RC Songwe apongeza msaada wa magodoro 60 kwa Wagonjwa, vitanda 40 vya Shule na madawati 100

    Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
  6. Double Deka 4*6 na magodoro yake for sale

    Una watu wa3, au wa4 wanalala kitanda kimoja😕, no Wachukulie hii kama uyaonavyo kwenye picha price: 420k vyote 0697224996
  7. Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Habari, Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi. Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali. Ahsante
  8. Tuingize tu bure Jumatano baada ya Kushiba Uzuzu wetu kwa Kutupiga, ila Wajukuu wa Kwame Nkurumah wakituadhibu utatumbua na Magodoro yako

    Yaani Mashati yetu yenye Vifungo unayauza kwa Tsh 40,000/ halafu Wewe unachukua Tsh 38,500/ na Sisi Mazuzu wa Mafurikoni na Vyura wetu unatupa Tsh 1,500/ tu. Nadhani bado hujatujua Sisi Mazuzu.
  9. Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  10. Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  11. Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
  12. Faida na Hasara za Magodoro ya Spring. Na pia Magodoro bora

    Naomba wenye uzoefu wanisaidie katika hili. Nini faida za magodoro ya spring. Maana demu wangu naona anasisitiza nimnunulie Godoro la Spring la 5x6. Kwenye inch hapo anasema yoyote ile iwe 6,8,10. Naomba wenye uzoefu wa haya magodoro please.
  13. Nancy nyalusi (mb) atoa msaada magodoro 50 kwa shule ya walemavu

    MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
  14. INAUZWA Karibu ujipatie godoro lako

    Ni muuza magodoro hapa. Nimefurahi kukutana nanyi jukwaani.. Nashukuru sana. Karibu ujipatie godoro lako. Tupo kariakoo dar es salaam 0712082915 Whatsapp 0684943062 KARIBUNI SANA
  15. Magodoro Dodoma rejects

    amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
  16. Tunauza magodoro vitasupreme

    Habari rafiki, karibu ujipatie godoro nzuri ya uhakika kiukweli hauta jutia kabisa.Nakushauri kitu kimoja kwenye sekta ya magodoro kuna aina nyingi sana za godoro na kwa watu wengi tunakalili majina tu. Utajuwaje godoro ni la uhakika Uliza density na iyo density iyanzie 25 hapo itakuwa angalau...
  17. Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
  18. M

    Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  19. Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  20. 70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…