THE WEALTH OF RAPTA RUINS
(Get Rich or Die Tryin)
Msimuliaji: LUDOVIC MASSAWE
PROLOGUE/DIBAJI
Mji wa rapta ni mji uliozama baharini kisiwani mafia kwa zaidi ya miaka 2000. Unaweza kua mji mgeni Kwa baadhi ya watu, lakini wengi mnaweza kua mmepata kuusikia uwepo wa mji huu wa kale pembezoni...