magole

  1. Mshamba wa kusini

    Natafuta kiwanja Kitunda Magole

    Habari Wakuu naomba connection ya kiwanja KITUNDA MAGOLE nahitaji ninunue
  2. edwin89

    DOKEZO Magole Kitunda tuna changamoto ya umeme tunaomba TANESCO tuongezewe Transfoma

    Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
Back
Top Bottom