magoma vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Magoma na Mwaipopo waangukia pua kesi dhidi ya Yanga

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu kama Yanga. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Septemba 9, 2024 na Naibu wa...
  2. Mributz

    Magoma na wenzake watiwa Mbaroni kwa kughushi nyaraka za Yanga

    Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga. Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na...
  3. M

    Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

    Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo. Pia Soma - Juma...
  4. Baba Dayana

    Magoma na YANGA ngoma bado ngumu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilishindwa kutoa maamuzi ya mapitio ya hukumu iliyompa ushindi Mzee Juma Ally Magoma na wenzake na kulazimika kuiahirisha hadi siku nyingine huku pia ikielezwa kuwa Mawakili wa Mzee huyo wameshindwa kufika Mahakamani kutokana na kuwa na majukumu mengine...
  5. LIKUD

    Hii ndio ilipaswa kuwa hukumu sahihi kwenye kesi ya Mzee Magoma Vs Yanga

    Kesi ya Msingi ya Mzee Magoma ilikuwa ni kwamba " Uongozi uliopo wa Yanga hauna uhalali kwa sababu umeingia madarakani kwa mujibu wa katiba ya mwaka 2020 ambayo yeye Mzee Magoma anasema katika hiyo sio halali kwa sababu haijasajiliwa RITA na kwamba katika iliyo sajiliwa RITA ni ile ya mwaka...
  6. Majok majok

    Wiki ijayo itajulikana kama Magoma alishinda kesi kihalali ama alifanya uhuni, saini ya mama Fatma Karume aliitoa wapi!

    Kuna upuuzi mwingine ni wa viwango vya lami, mahakama pamoja na weledi wake ilishindwa kunusa hali yoyote ya uhuni kwa awa wakina magoma na mwenzake? Wajumbe wa Baraza la wadhamini aliowashtaki magoma kipindi kile ni watu maarufu na wanajulikana ata makazi yao walipo na ata ofisi zao...
  7. sos_10

    Yanga kuwaita wa ovyo watu waliopewa ushindi wa Mahakama ni kuidharau Mahakama

    Kauli iliyotolewa na afisa habari wa Yanga bw Ally Kamwe kwa kuwaita wa ovyo watu waliotinga mahakamani kupinga uhalali wa uongozi wa Yanga na kupewa ushindi ni kuidharau Mahakama iliyotoa hukumu na kuwapa ushindi watu hao baada ya kusikiliza madai yao na kuona yana mashiko. Nadhani ule muda...
  8. kavulata

    Magoma kayakanyaga kwa kuchokonoa timu inayoshinda makombe

    Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji. Yanga inashinda hivyo hakuna...
Back
Top Bottom