Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku.
Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao.
Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
Wakuu igweeee
Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya
Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale
Na mambo ya rent yako vipi?
Nawasilisha
Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali.
Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia kuuziwa wananchi nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu wa mpangaji mnunuzi kwa kurejesha gharama za ujenzi pekee bila gharama za ardhi.
Rais Samia kasema wakitoza ardhi wahusika watashindwa kuzinunua. Pia Rais amesema...
Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii.
Utafuatilia Matangazo haya ya moja kwa moja kupitia Televisheni, Radio na Mitandao ya Kijamii.
#TunaImaninaSamia...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.
Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.
Ujenzi wa majengo ya...
ZIKIWA zimepita siku 20 tangu Rais John Magufuli atoe ahadi ya ujenzi wa nyumba za kisasa katika eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam, Wakala wa Majengo nchini (TBA) umesema unatarajia kuanza ujenzi huo rasmi Septemba 29 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.