Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana ikilinganishwa na magonjwa hayo. Ingawa ni kweli kwamba magonjwa kama figo, kansa, na kisukari...