▪︎ EU kuwekeza Euro milioni 50 kusaidia kutokomeza sotoka barani Afrika
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya...