Rasmi nchi ya Misri imepatiwa cheti cha kutokuwepo kwa malaria katika nchi hiyo na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo shirika hilo liliita mafanikio haya ya kihistoria.
Soma pia:
Djibout imeachilia mbu waliobadilishwa vinasaba kupambana na malaria
"Malaria ni ugonjwa wa zamani sana kama...