magonjwa ya mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Kenya: Wizara ya afya imeanza kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200

    Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya Kenya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayehusika na afya ya umma Mary Muthoni anasema tayari...
  2. K

    Kuna watu wanaumwa magonjwa ya tumbo/Kipindupindu maeneo tofauti ya Tunduma, lakini sijasikia tamko la Serikali

    Huku kwetu Tunduma karibu maeneo yote kuna changamoto ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo na wengine kipindupindu lakini hatusikii mamlaka zikiweka wazi kuhusu suala hilo hadharani. Kumekuwa na taarifa kuwa kuna watu wanapoteza maisha kwa maambukizi ya tumbo na kadhaa tunashuhudia Wataalamu wa...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  4. kamjabari

    DOKEZO Ubungo Riverside kuna tishio la Magonjwa ya mlipuko kufuatia utiririshaji ovyo wa Majitaka kutoka kwenye Vyoo

    Kumekuwa na utiririshaji wa majitaka ovyo maeneo ya Ubungo Riverside kuanzia maeneo ya Msikitini mpaka Kituo cha Kaladala karibu na Riverside Bar kuna harufu kali inayosababishwa na maji taka yanayotokana na shughuli mbalimbali za Wakazi na Wafanyabiashara wa maeneo hayo. Ambapo inadhaniwa pia...
  5. S

    SoC04 Mazingira machafu yanavyoweza kuchangia usambaaaji wa magonjwa ya mlipuko

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika. Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷ 1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na...
  6. R

    SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
  7. A

    KERO Magomeni Mtambani taka hazichukuliwi kwa wakati, wakazi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani. Pia soma - DOKEZO - Magomeni, Kanisani: Dampo linahatarisha afya za watu, viongozi chukueni hatua - Taka zimejazana sana eneo la...
Back
Top Bottom