Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt. Boniface Kasululu ametolea ufafanuzi taarifa ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Songwe yana changamoto ya Wananchi kuumwa magonjwa ya matumbo na kuwa anahisi wengi wao wao wanasumbuliwa na Kipindupindu.
Kusoma andiko la...
Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87.
Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali wakati linajengwa Mwaka 2020 lilisifiwa kuwa ni sehemu sahihi ya kuhifadhi taka lakini mambo yamebadilika...
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki?
Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu.
Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.