Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa.
Haya mambo...
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.
Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha...
Habari wakuu jamani hapa ni ushauri wa kujenga tu ndio unahitajika.
Wakuu, mimi nimeoa nampenda sana mkewangu lakini hapa juzi kati nilichepuka na sikutumia kinga maana niliechepuka nae ni mtu wangu wa siku nyingi tu na ndio michezo yetu hio sasa kiukwel baada ya siku kupita nilianza kupata...
Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection".
Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.
Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia kondomu mazee tutakupoteza.
Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu...
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.
Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.
Nini...
Mahakama ya Uingereza imemhukumu mwanaume wa Kizimbabwe Guy Mukendi (39) kifungo cha miaka 4 na miezi 3 jela kwa kosa la 'kuhadaa' baada ya kutoa kondomu bila ridhaa ya mwenzake wakati wakifanya ngono.
Guy Mukendi (39) kutoka jiji la Brixton alihukumiwa Alhamisi katika mahakama ya ndani ya...
Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732.
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine.
Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
Wakuu naombeni ushauri,
Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah ni nini?, na amesha enda hospital amepewa dawa za fungus na sindano ya aleji lakin wapi?
Msaada please
Well Miaka ya nyuma kidogo nikiwa A level nilipata manzi wa kizigua kwenye ndinga wakati huo kuona simu ya rangi ilikuwa msala,manzi alikuwa nayo sonny, wakati huo.
Sijui ilitokea nini tukaanza kuongea ila nakumbuka tulipofika kituo watu wkale na kuchimba dawa akasema nimsubiri anakuja...
Wasalaam nyote,
Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.
Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.
Basi ni vema walau tuambiane...
Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana.
Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.