Habarini wanajamiiforums,
Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana wadogo wenye umri wa kati ya miaka 20-35.
Je, unahisi wapi tunakwama na tufanyeje kujikwamua...