Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia.
Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri
Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa
Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii
Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend.
Huu Uhuru WA kuabudu...
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
CRDB BANK mnalala sana!
Wananchi tunaoishi Ihumwa na Mtumba huku Dodoma tunasota kwa kukosa fedha kwenye ATM yenu hapa Ihumwa Magorofa Mapya.
Changamkeni, hamchoki kulalamikiwa?
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.
Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza...
Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅
Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi...
Mawazo mengi na fursa nyingi zilizopo Tanzania zimeletwa na wananchi wenyewe ambao wamebahatika kutoka nje wakaona na kurudi nazo.
Nilichoshangaa ni kwamba kuna nchi nyingi zilizokuja hapa tanzania zikabeba na kujifunza walicho kiona na kupeleka kwao na leo ndio wanaongoza kwa uzalishaji...
Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua. Usikofanya usimamizi mzuri utajuta. Serikali kwa sasa waweke ukaguzi kabla ya majengo...
Ujenzi wa mji wa serikali mkoani Dodoma unaendelea, na hivi sasa mtandao wa barabara za lami katika mji huu ni kama umekamilika na umebadilisha kabisa muonekano au mandhari ya huu mji.
Hata hivyo, aina ya magorofa kwa kila wizara ndio yataamua muonekano wa jumla wa huu mji..Yale majengo ya...
Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo
Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani?
Ikitokea tetemeko vipi?
Sababu kubwa za kutumia vioo karika ujenzi wa magorofa makubwa ni jini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.