magorofa ya nssf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Naomba msaada wa ufafanuzi kuhusu hii status ya NSSF

    Wakuu, Naomba msaada wa hii status ya NSSF kwenye account yangu. Ni week ya 4 sasa tangu nifungue madai ya pesa zangu huko ila status inasoma bado lodged.
  2. A

    KERO Wakazi wa Malela, Tuangoma (Kigamboni) tunaishi kwa mashaka sasa

    Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo? Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
  3. Sir robby

    Ufisadi mradi wa NSSF Dege, Kigamboni

    Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza. Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli iliusimamisha baada ya kubaini kuwa kuna ufisadi mkubwa. Cha kushangaza CCM na...
Back
Top Bottom