Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini.
Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale wa enzi ya ukoloni. Hana uongozi shirikishi na jamii aliyoikuta. Najua na yeye ni mabaki ya yule...