Habari za j2
Nimekaa nikamkumbuka chuma John Pombe Magufulu kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndio angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa Rais Mstaafu!
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Najiuliza hili swali mara nyingi.
Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili?
Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama Rais mwenzie kwenye TV?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.