Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika.
Hali imekuwa mbaya kiasi cha watu kuambiwa wajisaidie haja ndogo tu na si haja kubwa kutokana na kukosekana maji licha...