Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya.
Mjadala umechagizwa na kauli ya...
Wala sihitaji kuandika thread ndefu juu ya hili, kwa sababu linapaswa kuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye akili. Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali ya Raisi Magufuli na serikali ya Raisi Samia iliyopo madarakani sasa.
Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, alikuwa tayari kufanya lolote lile...
Watu wengi sana waliompinga hayati magufuli walianza mkubali baada ya kuanza kuona mafanikio, hizi zinaweza kuwa ni sababu za kutokubali kwake
1. Alikuwa akili kubwa/ IQ kubwa kuliko Asilimia kubwa ya watu . Kwa hapa nlishangaa sana waalimu kuwa ndio group kubwa linalompinga , Kiuhalisia ukiwa...
Magufuli's leadership was so bad that Tanzanians never seen since independence but now according to what happened recently (abductions and killings of oponents) proves that SSH wants to break the record of his predissesor.
God we never expect our leaders to chear glasses after they have killed...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja...
Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na nia na uwezo wa kusimama imara maana vikwazo ni vingi sana na wengi hawataki kuona Tanzania imefika...
Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi.
Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji.
Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10.
Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya.
Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya.
Eti leo wanajifanya...
Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake
1. Kujenga viwanja vya ndege
2. Barabara zilizonyooka
3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk
4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano
5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
Salaam,
Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika.
Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza...
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za daraja hili:
1. Kuboresha Usafiri na Usafirishaji:
- Upungufu wa...
Rais John Magufuli alijulikana kwa jitihada zake katika kupambana na ufisadi, na alitumia mbinu mbalimbali kukabiliana na tatizo hili. Hapa kuna baadhi ya hatua alizochukua:
1. Kukomesha matumizi mabaya ya fedha za umma:
- Kupunguza Matumizi ya Serikali: Magufuli alianzisha sera ya kupunguza...
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa.
Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia.
Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger.
Ushindi wa...
Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais wa nchi nzima.
Tabia hii alianza Magufuli, kabla ya hapo huu ubaguzi usio na haya haukuwepo...
Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia.
Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye.
Atatoboa kweli ki siasa 2025?
Binafsi naliona giza ki...
Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli.
Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...