Tukiacha mambo kiasa Magufuli alikua muhamasishaji mzuri sana.
Kipande hiki cha hotuba yake hii nimetumia kama falsafa ya maisha yangu.
Ni bora kufanya ukosee kuliko kuto kufanya, ni wazi kwenye makosa ndiko kuliko na faida nyingi kuliko kupatia, vitu vingi tunavyo viona vimetokana na makosa...