magugu

Magugu is an administrative ward in the Babati district of the Manyara Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,682. It is famous for its aromatic rice.

View More On Wikipedia.org
  1. Offshore Seamen

    Njia ya Haraka ya kuondoa magugu maji(Water weeds) katika Ziwa Victoria

    Magugu maji yana njia nyingi za kuondoa ikiwa ni kutumia madawa, kupandikiza samaki na viumbe wanaokula magugu maji na kuondoa kwa kukata kwa njia ya mkono na mashine Maalum za kukatia magugu maji (water weeds harvester). Kwa hatua iliyofikia kwenye ziwa Victoria ni kutumia mashine za water...
  2. Dr leader

    Magugu

    Ninahitaji mtu aliye Magugu,Manyara Akiwa anajishughulisha na mchele au mpunga itakuwa Aulaa Zaidi 0744883353
  3. R

    Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

    Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana. Wataalam wasema, haya magugu ziwa NYANZA hayakuwepo miaka ya nyuma, ni mradi umetokea miaka ya hivi karibuni, Serikali na wanavijiji...
  4. R

    Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
  5. Logikos

    Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia hawa kidogo kiwe kikubwa kidogo, ni vema tukaangalia ni vipi hatari inayokuja kesho ya wazee wa...
  6. Nyankurungu2020

    Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  7. dmketo

    Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  8. Mayova

    Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
Back
Top Bottom