maguire

The Maguire ( mə-GWIRE) family is an Irish clan based in County Fermanagh. The name derives from the Gaelic Mac Uidhir, which is "son of Odhar" meaning "dun", "dark one". According to legend, this relates to the eleventh descendant of Colla da Chrich, great-grandson of Cormac mac Airt, who was monarch of Ireland about the middle of the third century. From the 13th to the 17th centuries, the Maguire family were kings of Fermanagh.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Mbunge wa Ghana aliyemdhihaki Maguire Bungeni aomba radhi

    Mbunge wa Ghana, Isaac Adongo ambaye alifananisha uongozi wa Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Mahamudu Bawumia kuwa umeyumba kama kiwango kibovu kinachooneshwa na beki wa Manchester United, Harry Maguire. Adongo amesema anarekebisha kauli yake kwa kuwa Maguire ameonesha uwezo mkubwa na kuwa...
  2. L

    Hili linasikitisha sana na kufurahisha pia - Maisha Ya Harry Maguire

    🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA. By Lackson Tungaraza ♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza. Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati. Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
  3. JanguKamaJangu

    Harry Maguire atishia kuondoka Man United katika dirisha la Januari

    Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire ametoa kauli ya kuwa kama ataendelea kupata nafasi ndogo ya kucheza chini ya Kocha Erik ten Hag basi atafikiria kuondoka Januari 2024. Maguire, ambaye alitoa asisti ya goli la ushindi katika mechi iliyopita dhidi ya Brentford, amesema "Siwezi...
  4. JanguKamaJangu

    Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa

    Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza wachezaji ambao hawapo kwenye mipango yake huku muda wa kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili...
Back
Top Bottom