Mimi binafsi naona ni ubabe wa usiofaa wa baadhi ya wanajeshi, mtu anakuja ofisini kwako kavaa kiraia.
Mnafanya biashara vizuri, Ikitokea biashara imeenda kinyume siku akija kueleza matatizo anakuja na kikundi cha wenzake wawili au watatu huku amevalia nguo za kijeshi na vitisho kibao, kwanini...