Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada.
DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.
Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za...