Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi wa nchi hiyo Douglas Kanja, wa kupiga marufuku maandamano ya umma yaliyopangwa na vijana wa Kenya katikati ya Jiji la Biashara la Nairobi (CBD).
Jumatano jioni Inspekta Jenerali wa Polisi alitangaza kupiga marufuku...