🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
Wakuu,
Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.
Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
============...
Wakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC
Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
My Take
😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆 Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.
=========
Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili...
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.