mahakama ya kisutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Pre GE2025 Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa. Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya...
  2. Cannabis

    Lissu: Msigwa alienda kumsubiria Mwenyekiti Mahakama ya Kisutu alipoachiwa huru lakini hakumkuta, akashangaa kumuona kwenye TV yupo Ikulu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha kushangaza hawakumuona na baadaye walishituka kumuona akiwa ikulu na Rais Samia. Tundu Lissu anasema...
  3. JanguKamaJangu

    Mahakama ya Kisutu yapanga Agosti 29, 2024 kusikiliza ushahidi wa kesi ya Boniface Jacob

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  4. Abdul Said Naumanga

    KISUTU: Yanga kupewa siku 14 kupeleka maombi ya mapitio (Review) ya case iliyofunguliwa na Mzee Magoma

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo tarehe 19 Julai 2024, maombi yaliopelekwa na Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Michezo ya Young Africans (YANGA) kwa ajili ya kuongezewa muda wa kuwasilisha mapitio (Review) ya uamuzi wa Mahakama hiyo katika Kesi ya Kiraia Na. 187 ya 2023...
  5. OMOYOGWANE

    TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  6. Erythrocyte

    Kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki inayowakabili Boniface Jackob na Malissa kuendelea Mahakama ya Kisutu

    Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake. PIA SOMA - Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
  7. Sildenafil Citrate

    Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania chamtaka Rostam Aziz kuthibitisha tuhuma alizotoa dhidi ya Majaji na Mahakama ya Kisutu

    Mnamo tarehe 26 Juni, 2023 manyabiashara Bw. Rostam Azizi wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusu masuala ya uwekezaji alinukuliwa akiituhumu aliyoiita Mahakama ya Kisutu kwa kutokuwa huru katika uendeshaji wa shughuli zake. Kutokana na taarifa hiyo tunapenda kuhabarisha umma yafuatayo...
  8. R

    Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  9. saidoo25

    Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  10. beth

    Maofisa watano wa TMDA waliokuwa na tuhuma ya kuhujumu uchumi waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
  11. Mpinzire

    David Mataka aliyehukumiwa 20 Agosti, 2021 aliwahi kuhukumiwa Mwaka 2017 kwa kesi ileile na Mahakama ileile

    Kuna jambo limenishangaza sana! Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71. - David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
  12. chiembe

    Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  13. chiembe

    Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  14. Kijogoodi

    Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

    Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe. Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja...
  15. M

    Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  16. the numb 1

    Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

    Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
  17. figganigga

    Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

    Salaam Wakuu, Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo. Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa. Tuendelee kufuatilia kwa karibu ===== UPDATES; =====...
  18. J

    Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Nawasalimu kwa jina la JMT. My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
Back
Top Bottom