mahakama ya mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaibaje?

    Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika. Kwahiyo wewe kama...
  2. Mahakama ya mafisadi ni imeenda kusipojulikana

    Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi,inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi hivi sasa hatujaona Mtu akifunguliwa mashtaka ya ufisadi na huenda kwa sababu wenye Mali ndiyo walaji...
  3. Mahakama ya Mafisadi imeishia wapi?

    Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza... Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na taasisi za umma zenye uhitaji ni baadhi ya mambo tuliyoyashudia ktk utawala wake Marehemu JPM. Kama...
  4. TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

    Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
  5. Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

    Kwa Masikitiko Makubwa Kabisa! Japo Waziri wa Mambo ya Ndani aliamua kujitoa akili na kuonesha Immaturity mbele ya kadamnasi kwa kuongea vitu ambavyo kimsingi alikuwa akijielewa mwenyewe. Hata hivyo, halikumzuia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
  6. K

    Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

    Watu wanaitazama Tanzania kwa jicho lingine. Labda huu nao ni ubunifu wa Utawala na pengine ni mafanikio miongoni mwa mafanikio. Watawala walianza na kile kilichoitwa kutumbuwa mafisadi na kuwasekwa ndani waliotuhumiwa. Mara ikaundwa mahakama ya Mafisadi na kutangaziwa kiama mafisadi wote...
  7. M

    Mahakama ya mafisadi, na msemo wa mchimba kisima huingia mwenyewe.

    Ni nani ambaye hakusikia vita vya ufisadi jinsi vilivyo beba agenda ya ccm kwenye uchaguzi was 2015 ?, Ni nani ambaye hakusia matusi makubwa na ya ajabu na hata kufikia kutoa matusi ya nguoni yakitoka katika vinywa vya wana ccm yakiwalenga watu flani waliowakimbia na kujinga upande wa wapili...
  8. Mahakama ya Mafisadi imekufa kifo cha kawaida?

    Itifaki imezingatiwa! Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera" Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow" yakipandishwa kizimbani "Rugemalila" na "Sethi", ilikuwa ni mahakama ya hakimu mkazi "Kisutu" kama...
  9. Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

    Mahakama ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, hii leo tarehe 14.11.2016 imesikiliza kwa mara ya pili kesi yake ya kwanza inayowakabili watanzania wawili na raia mmoja wa China. Kesi hiyo ya kwanza katika mahakama hiyo imesikilizwa kwa mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…