Maandamano ya DP World - Bandari yalishika kasi zaidi Mbeya, Kesi ilifunguliwa Mahakama ya Mbeya
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na...