Wakuu,
Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile kinachodaiwa hofu juu ya usalama wake.
Akizungumza baada ya kutoka mahakamani hapo Rais wa Chama cha...