Majaji wa Mahakama Kuu ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya Wakili, Jaji anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu Wakili kwa kukiuka sheria ya uwakili The Advocates Act, siku hizi Mawakili wakishindwa hoja mahakamani wanatoka nje na kulaumu mahakama kuwa imekosea ili wananchi tuamini kuwa mahakamani...
Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida.
Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
mens rea
Dictionary
Definitions from Oxford Languages · Learn more
noun
Law
the intention or knowledge of wrongdoing that constitutes part of a crime, as opposed to the action or conduct of the accused.
"a mistaken belief in consent meant that the defendant lacked mens rea"
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi.
Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi.
Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.
Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote.
Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
Mahakama ni chombo huru lakini hakitakiwi kuwa huru.
Mahakimu na majaji wengi wanautumia uhuru wa mahakama vibaya.
Fikiria jinsi pesa za halmashauri zinavyoibwa kila siku. Ushahidi hata wa kimazingira upo wazi. Majengo yanajengwa chini ya ubora. Kinachofuata ni mtumishi kusimamishwa kazi na...
Agizo limetolewa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mustapha Mohamed Siyani akiitaka TAKUKURU kuchunguza tuhuma za Watumishi hao kupokea Rushwa kwa njia ya Miamala ya Simu.
Akizungumza wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt. Rashid Chuachua amewatuhumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.