Kufuatia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 27 Novemba, 2024 Mahakimu wote wa Mahakama mkoani Pwani wamepatiwa mafunzo ya namna bora ya kuendesha mashauri ya uchaguzi.
Mafunzo hayo yalitolewa jana tarehe 08 Novemba, 2024 katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...