mahali

Mahali, Mahle, Mahili are an ethnic group in India, Nepal and Bangladesh. The Mahali are local peoples to the states of Jharkhand, West Bengal and Odisha. They mostly reside in areas of West Bengal and Odisha near the Santhal Pargana division of Jharkhand. Mahali people form a different tribe which is sometimes grouped together with the Munda tribe. They speak the Mahali language, which is considered a dialect of Santali. The language only had around 33,000 speakers in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  2. Tafakari: Kila sekunde moja inaenda sambamba na tukio fulani mahali fulani

    Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo; Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani Kila...
  3. SoC03 Uwajibikaji mahali pa kazi

    HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete chachu ya maendeleo na kukua kwa uchumi kwa jamii inayotuzunguka na eneo uliilopo na hata kwa mtu...
  4. Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  5. Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

    Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo. Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa...
  6. D

    Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
  7. L

    Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  8. Kiwanda cha Mazava Morogoro Chasisitizwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira na Usalama wa Mahali pa Kazi

    MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
  9. Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  10. Mastaa wa Nigeria wanakimbiza kila Charts za AfroBeats popote duniani

    Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia #Spotify, kuna Mastaa 8 wa Nchi hiyo. Nafasi mbili pekee zimebaki kwa Mastaa wa Nchi nyingine ikiwemo...
  11. B

    OSHA yaimwagia sifa benki ya CRDB kwa kuzingatia usalama mahali pa kazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB, Misana Mutani wakati Benki ya CRDB ikitunukiwa tuzo tatu ambazo ni mshindi wa kwanza katika kundi...
  12. B

    Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  13. Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

    Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni, Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
  14. Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  15. Pamoja na majina yote, bado sifa zake zipo kila mahali!

    Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake. Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni ngumu sana" nikachomekea "nyie si mnasema mama anaupiga mwingi na kwamba mtangulizi wake alikuwa...
  16. U

    Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  17. A

    Tunanunua vanilla kiasi chochote kilo 1 sh 100,000 hadi sh 300,000 kutegemea na grade mahali popote

    Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu, Mawasiliano piga 0746021481 Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
  18. H

    I'm seeking for an employment opportunity on any field

    Greetings, My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit. I am energetic and open to learn new skills. I am willing to work in remotely environment and minimal...
  19. Hili la mbolea ya ruzuku kuna mahali tumeteleza, Bashe lazima awajibike

    Gazeti la Mwananchi Januari 18,2023.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…