Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Deby Itno
Serikali ya Chad imeamua kusitisha makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na Ufaransa, ikiwa ni hatua ya kihistoria ya kujipambanua upya kuhusu uhuru wa kitaifa. Hatua hii inakuja zaidi ya miongo sita tangu taifa hilo la Afrika ya Kati lipate uhuru wake...