Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF ilieleza kuwa hospitali hiyo imekuwa ngome kuu ya wanamgambo wa Hamas na imetumika kwa shughuli zao tangu...