Hamjambo wote!
Kuna watu wanafurahisha Sana.
Ati wanamshangaa na kumsimanga Azizi Ki kwa kutoa Mahari 30m na Ng'ombe 30 na kumshutumu na kumkejeli kwamba ni mshamba sijui kanunua gazeti la Juzi, sijui ganda la Muwa la Jana, oooh! Jamaa kaoa single mother kwa gharama kubwa. Yaani blah blah...
ugonile,
Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju
Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo...
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
Tukio hilo limefanyika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.