Wasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au?
Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko mbeleni.
Je, inawezekana?
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.
Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.