Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco?
Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu.
Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...