Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu.
Wakati wa kutoa...
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi zao.
Amekemea tabia hizo wakati wa maadhimisho ya siku ya maandishi ya nukta nundu kitaifa...
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.
Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM
📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia.
📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia.
📌 Zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ni endelevu kwa Wanakaragwe.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la...
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
Anonymous
Thread
fedha
kutoa
maalummahitajimahitajimaalum
mfumo
rushwa
vikundi
wenye
Na WyEST
Masasi, MTWARA
Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao.
Hayo yamesemwa na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia alipokuwa akizindua...
Habari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.
Katika ulimwengu wa kisasa unaozingatia teknolojia, kuna uvumbuzi mwingi sana wa kurahisisha maisha yetu. Teknolojia saidizi imekuwa muhimu sana kwa watu wenye ulemavu, wazee, na watu walio na maradhi mbalimbali.
Teknolojia saidizi (assistive technology) ni vifaa au programu yoyote ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.