mahmoud thabit kombo

Mahmoud Thabit Kombo is a Tanzanian politician serving as the country's foreign minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  2. Ojuolegbha

    Hon. Mahmoud Thabit Kombo, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation with Hon. Péter Szijjártó, Minister of Foreign Affairs and Trade

    Hon. Mahmoud Thabit Kombo, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation with Hon. Péter Szijjártó, Minister of Foreign Affairs and Trade of Hungary during Official Bilateral Meeting on strengthening cooperation between Tanzania and Hungary in Budapest
  3. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  4. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  5. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ashiriki hafla ya maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE akiwa ni Mgeni wa Heshima. Hafla hiyo imefanyika mjini Abu Dhabi tarehe 05 Desemba, 2024 ambapo Naibu...
  6. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ahutubia katika Chuo cha Diplomasia cha UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb),ameshiriki maadhimisho ya miaka 50 ya uhusiano baina ya Tanzania na UAE yaliyoandaliwa na Chuo cha Diplomasia cha Anwar Gargash cha nchi hiyo. Akizungumza mbele ya wanafunzi na wahadhiri wa Chuo hicho...
  7. Nyani Ngabu

    Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

    Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC. Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
  8. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje, Mahmoud Thabit Kombo awasili Finland kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Finland kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe 08 hadi 11 Oktoba 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa ndege jijini Helsink, Mhe. Waziri Kombo alipokewa na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe...
  9. Ojuolegbha

    Mahmoud Thabit Kombo: Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region

    Tanzania's Minister of Foreign Affairs Hon. Mahmoud Thabit Kombo Says Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region. The region has experience sporadic attacks by militants in that area. Kombo spoke to international news editor Sophie...
  10. Ojuolegbha

    Rais Samia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kuhusu kuteuliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC -Organ...
  11. Ojuolegbha

    Waziri Kombo kushiriki mkutano wa Mawaziri wa SADC, Harare

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 13 na 14 Agosti, 2024 Mkutano huo wa Mawaziri ni sehemu ya mikutano ya...
  12. Pfizer

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, akutana na ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Back
Top Bottom