Ndugu zangu Watanzania,
Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo walau mara moja tu katika uhai wake kuweza kufika katika mji huo mtakatifu kwa waislamu .
Vifo...
Raia wa Iran hawaruhusiwi kwenda kuhiji Saudi, hawatapata fursa ya kwenda kupiga shetani mawe......
Flights to Saudi for Iranian pilgrims traveling to Umrah have been canceled amid ‘technical disagreements’ between the two nations.
The anticipated journey was scheduled to commence on Wednesday...
Takriban Mahujaji 36 wa Shiite wamefariki na wengine 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea Msikitini wakati wa ibada ya Ashura mjini Karbala
Mamia ya Mahujaji hao walikuwa wamekusanyika katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Imam Hussein, Mjukuu wa Mtume Muhammad ambaye aliuawa vitani...
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema watu 80 wamepoteza maisha baada ya winchi kuwaangukia Mahujaji katika Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia.
Mamlaka ya nchi hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ingawa maelezo ya kina kuhusu majeruhi hayajatolewa ila inaelezwa zaidi ya watu 180...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.