mahujaji makka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lupweko

    Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

    Takriban Mahujaji 323 kutoka Misri wamekufa wakati wa Hijja ya Waislamu huko Mecca, Saudi Arabia, ambapo karibu wote walikufa kutokana na magonjwa yanayohusiana na joto, wanadiplomasia wawili wa Kiarabu waliiambia kwa AFP leo. Vifo hivi vinafikisha idadi ya watu 577 iliyotangazwa na nchi...
  2. albuluushiy

    Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

    Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema watu 80 wamepoteza maisha baada ya winchi kuwaangukia Mahujaji katika Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia. Mamlaka ya nchi hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ingawa maelezo ya kina kuhusu majeruhi hayajatolewa ila inaelezwa zaidi ya watu 180...
Back
Top Bottom